Nahitaji ushauri kuhusu Kozi nzuri ya kusoma

Nahitaji ushauri kuhusu Kozi nzuri ya kusoma

THEBADDEST

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2019
Posts
247
Reaction score
137
Nimefaulu Chemistry, Biology na Geography form 4. Je, ni kozi gani nzuri naweza nikapata chuo.

Note: Hesabu nimefeli
 
Maybe kilimo , lakini hesabu ungefauli ningekushauri afya
 
angalia familia yenu na connections za wazazi wako na ndugu zako na jamii inayokuzunguka hai ndo watakushauri kitu kizuri cha kusoma maana wao ndo wanakuwa na wewe wakati umemaliza chuo unatafta kazi connections zao ndo zitakusaidia kupata kazi sasa wewe jichanganye utashangaa
 
Back
Top Bottom