Samahani kidogo,swali langu ni kwanini watanzania tunaishushia hadhi pesa zetu wenyewe kwa kuweka curency za kigeni?Kwanini hatutumii pesa zetu na kuipa ujiko pesa za wengine?Ni swali ambalo muda mrefu hujiuliza lakini sipati jibu.Tupende vyakwetu jamani na tuvithamini.:yo: