Uko Dar sehem gan mkuu? au duka liko wapi?Kuna samsung inch 32 ipo dar,inauzwa laki 4 njoo pm nikutumie picha uione
hapana sina duka ni rafiki yangu anaiuza kaitumia miezi miwili sasa kanunua tv kubwa zaidi hii 32 anaiuzaUko Dar sehem gan mkuu? au duka liko wapi?
Mkuu kufika Mwanza c itakua ishaharibikaUko Dar sehem gan mkuu? au duka liko wapi?
Iko mkoa ganSamsung led tv inch 32
380k used for 4 month
darIko mkoa gan