kijana13 JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 1,981 Reaction score 3,635 Oct 22, 2015 #1 Habari wakuu, nahitaji TV ndogo ya nch ya chini kabisa, Iwe na chogo au flat, iwe ktk Hali nzuri na ambayo haijachezewa ndani. Bajeti 40,000 elfu. Niko Dar. Contact 0713196055
Habari wakuu, nahitaji TV ndogo ya nch ya chini kabisa, Iwe na chogo au flat, iwe ktk Hali nzuri na ambayo haijachezewa ndani. Bajeti 40,000 elfu. Niko Dar. Contact 0713196055
EL ELYON JF-Expert Member Joined Jan 2, 2013 Posts 1,675 Reaction score 2,116 Oct 22, 2015 #2 Labda deck
M Mjasiriamali1 JF-Expert Member Joined Jun 8, 2009 Posts 891 Reaction score 240 Oct 23, 2015 #3 duuh, utapata lakini.
khaliciouz JF-Expert Member Joined Nov 12, 2013 Posts 579 Reaction score 212 Oct 23, 2015 #4 Elfu 70 ipo
Happycuit JF-Expert Member Joined Aug 18, 2013 Posts 646 Reaction score 542 Oct 23, 2015 #5 Kabat la chips la mbao tu hupati duuuuuuuuuhhhhh
Deeboyfrexh JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 3,422 Reaction score 5,595 Oct 23, 2015 #6 Ipo hitachi 5 system inch 14...Chogo ila haina remote! Ni follow inbox kwa maelezo zaidi!
toplemon JF-Expert Member Joined Mar 26, 2017 Posts 4,607 Reaction score 4,768 Apr 4, 2017 #7 vp ulipata