RAYAN THE DON
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 679
- 1,220
Habari zenu nahitaji tv mpya kati ya hizi Samsung au Philips kwa Tshs 250,000/=.
Niko hapa Fire.
Niko hapa Fire.
Au flat ila haiwaki anaweza kupata piaya chogo utapata
Hizo mbona fasta tuAu flat ila haiwaki anaweza kupata pia
Utapata mkuu, Ila haina KiooHabari zenu nahitaji tv mpya kati ya hizi Samsung au Philips kwa Tshs 250,000/=.
Niko hapa Fire.
okay. Japo nimeshindwa kuelewa kuwa haina kioo.Utapata mkuu, Ila haina Kioo