Nahitaji hiyo TV Mpya kabisa kwenye box lake ni tshs ngapi karibuni wadau ...
Bei Tafadhali
Hiyo bei ni kwa smart tv?
Hivi kitu kama hichi kitanigharimu mil ngapi?karibia huku ukikosa aina hiyo.
Samsung UN65KS9800 Curved 65inch
![]()
Kule USA inaituja na roku app.
Mkuu hii ni lugha gani ...?Kule USA inaituja na roku app.