binti mkupasi
Member
- Jan 9, 2016
- 25
- 16
sijaelewa maana yake umemkubalia kwa hiyo bei au huwezi kufanya biashara kwa hiyo bei.Mmmh 150,000? Bora niendelee kulegeza nut tu vyuma vilegee
Siwezi fanya biashara kwa hiyo beisijaelewa maana yake umemkubalia kwa hiyo bei au huwezi kufanya biashara kwa hiyo bei.
poaSiwezi fanya biashara kwa hiyo bei
Mkuu bado unayo?ni PM
Mkuu ukiwa nayo ambayo umeichoka we uza tu hata sie akina kabwela tufaidikekhaaa hata kama vyuma vimekaza flat yangu siuzi kwa bei hiyo
Hii kitu bado ipo?naitaka kwa 150ninayo aborder inch 21 Leta 170000
Bado ipo leta 160000Hii kitu bado ipo?naitaka kwa 150