Ambassador JF-Expert Member Joined Jun 2, 2008 Posts 933 Reaction score 78 Jun 19, 2014 #1 Habari za jioni wadau. Nahitaji trekta lililotumika 4WD prefarably kuanzia HP 50 na kuendelea. Mwenye taarifa naweza kulipata wapi kwa Bongo please!
Habari za jioni wadau. Nahitaji trekta lililotumika 4WD prefarably kuanzia HP 50 na kuendelea. Mwenye taarifa naweza kulipata wapi kwa Bongo please!
CYBERTEQ JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 7,341 Reaction score 4,076 Jun 20, 2014 #2 Ambassador said: Habari za jioni wadau. Nahitaji trekta lililotumika 4WD prefarably kuanzia HP 50 na kuendelea. Mwenye taarifa naweza kulipata wapi kwa Bongo please! Click to expand... kwa nini unataka used, kwani bajeti yako inaishia ngapi mkuu?
Ambassador said: Habari za jioni wadau. Nahitaji trekta lililotumika 4WD prefarably kuanzia HP 50 na kuendelea. Mwenye taarifa naweza kulipata wapi kwa Bongo please! Click to expand... kwa nini unataka used, kwani bajeti yako inaishia ngapi mkuu?
Ambassador JF-Expert Member Joined Jun 2, 2008 Posts 933 Reaction score 78 Jun 20, 2014 Thread starter #3 CYBERTEQ said: kwa nini unataka used, kwani bajeti yako inaishia ngapi mkuu? Click to expand... Nahitaji used kwa sababu sina pesa ya kununua mpya. Nitumie namba yako pm kama una clue nitakupigia.
CYBERTEQ said: kwa nini unataka used, kwani bajeti yako inaishia ngapi mkuu? Click to expand... Nahitaji used kwa sababu sina pesa ya kununua mpya. Nitumie namba yako pm kama una clue nitakupigia.