K kambipopote Senior Member Joined Nov 15, 2010 Posts 121 Reaction score 22 Jul 25, 2017 #1 Habari zenu wadau. Nahitaji trekta la kukodi kwa mwezi mmoja, nipo Iringa na nitalitumia huku Iringa. Msaada tafadhali.
Habari zenu wadau. Nahitaji trekta la kukodi kwa mwezi mmoja, nipo Iringa na nitalitumia huku Iringa. Msaada tafadhali.
Ntate Mogolo JF-Expert Member Joined Jun 5, 2016 Posts 410 Reaction score 711 Jul 27, 2017 #2 kambipopote said: Habari zenu wadau. Nahitaji trekta la kukodi kwa mwezi mmoja, nipo Iringa na nitalitumia huku Iringa. Msaada tafadhali. Click to expand... Hilo trekta unalitaka lini, na shamba lako linaukubwa gani! Mimi ninfanya biashara ya kukodisha trekta likiwa na vifaa vyote vya kazi.
kambipopote said: Habari zenu wadau. Nahitaji trekta la kukodi kwa mwezi mmoja, nipo Iringa na nitalitumia huku Iringa. Msaada tafadhali. Click to expand... Hilo trekta unalitaka lini, na shamba lako linaukubwa gani! Mimi ninfanya biashara ya kukodisha trekta likiwa na vifaa vyote vya kazi.
Well Member Joined Mar 20, 2015 Posts 73 Reaction score 16 Jul 27, 2017 #3 Nichek pm,ama nipigie 0762283253 kuna wajamaa wanakodishaga, Sent using Jamii Forums mobile app