RugambwaYT
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 1,444
- 2,032
Hehehee. Hicho cha cylinders nne kina nafuu. Cha cylinders tatu ni balaaIla ujiandae aisee, ka passo ukikawasha kanatetemeka mpk utataka kukimbia.Ila ikishachochea vzr mitetemo inaisha.