Nahitaji toyota opa ya mwk 2000 - 2002

Kisusi Mohammed

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
563
468
Habari zenu wadau, nimechoka kukanyagwa na abiria wenzangu wa daladala, nahitaji kuwa na chombo cha kunisaidia kutoka sehem moja mpk nyingine. Nipo Dar, nahitaji gari aina ya TOYOTA OPA ambayo haijapigika sn (walau iwe na mileage chache ilizotembea hapa TZ) budget yangu ni MILIONI 7 ambazo ukinletea gari tu ambayo haina longolongo unajitwalia bila mawazo! Kwa mwenye nayo anicheki kwa namba 0768 111 123 au 0715 555 512
 
Back
Top Bottom