Nahitaji Toyota Corrola

FreedomTZ

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2012
Posts
1,104
Reaction score
251
Habari wadau,

Nahitaji kununua Toyota corrola namba C au D. Iwe katika hali nzuri. naomba msaada wako wapi naweza kupata gari hilo au kama unauza ni-PM

asante kwa msaada wako
 
Wewe unanunua namba au gari..mimi ninayo b ila ni nzuri sana kushinda hata nyingine za c na d..

Gari ni matunzo jombaa
 
Wewe unanunua namba au gari..mimi ninayo b ila ni nzuri sana kushinda hata nyingine za c na d..

Gari ni matunzo jombaa

sure gari ni matunzo ila imani yangu ni kwamba gari lenye namba tajwa ni mpya ukilinganisha na A au B. Ni-PM tufanye biashara mkuu
 
Habari wadau,

Nahitaji kununua Toyota corrola namba C au D. Iwe katika hali nzuri. naomba msaada wako wapi naweza kupata gari hilo au kama unauza ni-PM

asante kwa msaada wako
Ninayo mazda familia..haina tofauti na corola.namba ni b. Ni pm nikupe ufunguo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…