Wadau nipo Mwanza mjini, wapi naweza pata touch sreen ya hii simu. Simu ilidondoka na kioo kika-crack. Touch haifanyikazi kabisa. Hata hata kama inapatikana Dsm naweza agiza. Asanteni.
Infopaedia,Watu wanashangaa samaki kuingia kwenye kichuguu na kuomba maji.Thread yako umeiweka pasipostahili, mahala pake ni jukwaa la science na technology. Mwombe Invisible aihamishie huko.