Nahitaji Tecno Y4

Nahitaji Tecno Y4

ninayo nimeinunua mwez wa saba haina tatizo hata kdg, ni pm nikupe info zaid
 
Nina laki na 10 mwenye nayo jaman

Ninayo tecno y4 full accessories kwa 115 na pia nina tecno L6 210,000 battery yake inauwezo wa kukaa 2days full data on nayo iko fullboxed pm tuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom