Nahitaji tecno phantom a+

Nahitaji tecno phantom a+

jamani endeleeni kutuma txt,wengi wamejaribu kunitumia txt lakini mnantajia bei kubwa kuliko hata wanavyouza madukani.....By the way nimekwisha fanya window shopping tayari so ninaifahamu bei ya duka...mimi nataka BEI YA MKONONI!
 
Mie ninayo nimetumia wiki nipo sambalu singida
kama unadhani tunaweza fanya biashara my 4number is there!......
watu wanaagiza simu japan ijekua hapa singida tu!
 
Kama wewe una phantom a+ na umetumia siku chache na unaweza kuiuza nicheki hapa kwa 0712279177 niko D'slaam
nitanunua simu ambayo haijatumika muda mrefu na kwa ofa ya bei ya chini kuliko wengine...

ok lets do some business now......

Ninayo nipo dar. Tuwasiliane.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom