Nahitaji tani 50 za mbaazi

Tani 50=kg50000,duh wakulima watapiga hela ya kutosha.

Ila wanatakiwa wawe makini kwenye biashara kama hii,kupigwa.
 
Wakuu,kwema?

Nahitaji tani 50,mwenye Nazo au napoweeza kupata karibuni sana,

Mshaua soko la mbaazi kwa kumnyanyasa manji na sasa mnakuja kwa milango ya nyuma ili watu waanze kulima kwa kuwadanganya kwamba kuna soko.
 
We kama una hela njoo nachingwea au nicheki pm nikuunganishe na wakulungwa upate mzigo chap
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…