Nahitaji taarifa kuhusu TAESA Internship Program

Wote wanaofanya interview huwa wanapangiwa kituo vya kazi au unaweza feli interview na utajuaje kama hujafaulu?
Huwezi feli interview zao labda kama umelogwa
 
Unaweza kusema hvy halafu ww siku unaenda kufanya interview ndo unakuwa wakwanza kufeli
Ni hivi interview zao huwezi kufel niamin mimi hata mtu ambaye hajasoma vidato anafaulu
 
Ni hivi interview zao huwezi kufel niamin mimi hata mtu ambaye hajasoma vidato anafaulu
😂😂😂 Tuombe Mungu mambo yawe mazuri na kazi ipatikane kwa haraka, mm nilifanya Interview yao Ijumaa iliyopita.
 
Walinipigia simu niende kwa ajili ya training then nikafanya na interview ofisini kwao
mkuu naomba kujua kwa hao je kama uko mbali na office zao unafanyaje interview na je kupata internship kwa hawaangali maswala ya GPA kama private wanataka second class upper
 
mkuu naomba kujua kwa hao je kama uko mbali na office zao unafanyaje interview na je kupata internship kwa hawaangali maswala ya GPA kama private wanataka second class upper
Kama uko mbali na ofisi zao aisee hapo cjui itakuaje ila nakumbuka kuna raia alitoka Morogoro kuja kufanya Interview labla ww angalia ofisi ya kanda iliyokaribu na ww, kuhusu GPA wao taesa hawahusiki nalo ila kampuni ndo watahusika mana wataangalia mtu wanaomtaka
 
sawa nimeelewa mkuu
 
Walinipigia simu niende kwa ajili ya training then nikafanya na interview ofisini kwao
Sasa wengine wanaombwa kufanya interview kwa simu maswali mawili tu wenyewe wanakuwa wamechoka unachukua max zako za bure pasi yakutokujua uko na nondo pembeni yako unasoma tu
 
Naomba kuuliza, mfano shirika la kiserikali linahitaji watu wanaanzia huko taesa au kule ajira portal.?
Kuna jamaa yangu alifanya kila kitu hapo taesa alifanya training na interview (hakufanya internship) ikapita kama miezi sita akaona kazi ajira portal inayohitaji mtu kama yeye ali-apply ajira portal na akafanya interview lkn kwa bahati mbaya hakupata kazi.
Sasa ndo nauliza kazi inaanzia wapi taesa au utumishi.?
 
Kwa upande wangu sikujisajili wala kufanya interview nlikua referred sabab kozi yangu watu kuwapata sio rahisi hivyo walinitafuta wenyewe.
Mie mkuu nimejisajili hata week tatu sina wamenpigia kuniuliza ka nshafanya interview sijui kuna mchongo ila wameniambia niende j3,
Kada engineering
 
Mie mkuu nimejisajili hata week tatu sina wamenpigia kuniuliza ka nshafanya interview sijui kuna mchongo ila wameniambia niende j3,
Kada engineering
Fanya uende mkuu wakikupigia jua mambo tyr
 
Sasa wengine wanaombwa kufanya interview kwa simu maswali mawili tu wenyewe wanakuwa wamechoka unachukua max zako za bure pasi yakutokujua uko na nondo pembeni yako unasoma tu
Habari
Samahani Kama una namba zao naomba na website zao Ni zipi nisaidie
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…