killo JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 401 Reaction score 97 Sep 5, 2011 #1 Habari wana jamii, natumai post hii imewakuta salama. Ninahitaji a 32 or 48 port switch(100Mb/s or 1Gb/s), managable prefare, any of the below makes also prefared Dlink intel hp Bei iwe ya mtanzania tafadhali
Habari wana jamii, natumai post hii imewakuta salama. Ninahitaji a 32 or 48 port switch(100Mb/s or 1Gb/s), managable prefare, any of the below makes also prefared Dlink intel hp Bei iwe ya mtanzania tafadhali
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,771 Reaction score 4,656 Sep 5, 2011 #2 mkuu ungesisitiza ya mtanzania tena mmchinga....................huh
kokotoa Senior Member Joined Aug 15, 2009 Posts 109 Reaction score 114 Sep 5, 2011 #3 Mkuu nina Cisco 2960G 48 ports mpya kabisa katika box.kama uko serious nicheki kwa PM
killo JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 401 Reaction score 97 Sep 6, 2011 Thread starter #4 kaka samahani lakini nimepat ya netgear leo asubuhi mwana jamii ameniletea nashukuru sana wote kwa muda na mchango wenu
kaka samahani lakini nimepat ya netgear leo asubuhi mwana jamii ameniletea nashukuru sana wote kwa muda na mchango wenu