Nahitaji Suzuki milango mitatu Automatic

Nahitaji Suzuki milango mitatu Automatic

Nyaflora

Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
14
Reaction score
0
Wajameni, Mwenye suzuki milango mitatu auto, iliyo kwenye hali nzuri aniuzie jamani.Bei isizidi milioni tatu.
 
Vipi suzuki milango Mitano hutaki? Ipo Dar nakupm
 
Tuwasiliane 0759209031 nipo dar,nahtaj iyo ya 5 doors
 
Hiyo ya milango mitano inaenda kwa bei iliyotajwa kwenye kichwa cha habari?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom