Nahitaji Suzuki escudo 1999/2000 namba b ml.8.5

Nahitaji Suzuki escudo 1999/2000 namba b ml.8.5

Chakulagani

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
271
Reaction score
51
Pole na kazi za jioni ndugu zangu,nina shida
na escudo suzuki ya mwaka 1999/1998/2000
cc 1990/Automatic, tagadhaki mwenyeww nayo
asisite kunipatia hasa namba B,nina
Mil.8.5,iwe kwenye hali nzuri na haijawahi
pata ajali au kupigwa rangi.Mbarikiw
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom