Nahitaji somea masuara ya software online msaada

Na hayo majibu yako sijui kama utaweza mambo ya algorithms
 
Mkuu kwa usemi wako nimekuelewa mnoo na jamaa alitanguliza kauli zisizo badala ya kunijuza ndipo aendeleze mengine nb_ nimekuepo jf online mda mwingi ila huwa natumia muda wangu kusoma threads na kupotea huwa nafrahi lakini kama wakuta kitu hukiwezi si unapita tuuu so kujitia mjuaji mwisho nakushukuru mkuu besar
 
We jamaa unataka kujifunza afu hutaki kukosolewa, kwenye ishu za Software kuna kitu kinaitwa program language so kama lugha uliozaliwa nayo inakushinda cidhan kama ya malkia utaiweza, maana utaambiwa andika VAR we utaandka VAL
 
Nashukuru mkuu
 
sasa hiyo fani unayotaka kujifunza kama mahapa flani ikiwa umekosea atakaejitolea kukurekebisha si atakoga mitusi mpaka akome
Kimsela kina jazba kishenz..... Kina mihasira kama koboko. Nikisengerema sana hiki.
 
Kumbe unajua kuandika vizuri hivi? Sasa zile ra-ra mbona hazipo tena? Critics sometimes zinasaidia sana.

Haya piga kazi sasa
 
unataka uwe coder?
 
Goal setting:Goals should be specific, measurable, attainable, realistic and timely. In other words, in the goal setting process make sure you use the SMART system.
 
<I> Lengo la kuweka: Malengo lazima </ i> kuwa <i> maalum </ i>, <i> kupimika </ i>, kufikiwa, <i> kweli </ i> na kwa wakati. Kwa maneno mengine, katika <i> lengo la kuweka </ i> mchakato kuhakikisha <i> wewe </ i> kutumia mfumo SMART.
 
Goal setting:Goals should be specific, measurable, attainable, realistic and timely. In other words, in the goal setting process make sure you use the SMART system.
Asante but nin lengo lako hasa Mkuu?
 
Sisi tumekushauri jifunze lugha yako sahihi ya kiswahili, usichanganye lugha asili na kiswahili halafu ukasema umeandika kiswahili.

Usitokwe povu bro
 
Kimsela kina jazba kishenz..... Kina mihasira kama koboko. Nikisengerema sana hiki.

Ndo hivo hivo mkuu inabidi tusaidiane. Hata hawa watu wa masuara inabidi tuwaelekeze na ukorofi wao mpaka waelewe.

Jamaa na ubishi wake naona kaanza kuelewa somo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…