kelvin miho
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 281
- 134
Mkuu hili ndo jibu la thread yangu au? Nb_sorySawa kijana mwenye umri furan
Ukikuta thread haikupendezi unapoa kama maji ya mtungini usijitie mjuaji kumbe nikawa mjuaji zaidi yako toa ujinga wako ungenijibu nilchoomba na kufuata na kauli Zako ningekuona wa busara tatzo tecno wameleta simu nyingi mpaka machizi like u mnazo tuliza makende yako kwanzaJifunze kuandika kwanza then uje uombe msaada, hizo ra-ra kwenye uandishi wako ulifundishwa na nani?
Sasa kama hujui kuandika, code utaandikaje?
Furani......Fulani, program haita-run ng'o!...
Ubarikiwe mkuuu bul kwa wajuzi zaid nawasubilieni piaSoftware ni fani iliyo pana.. Japokuwa hukusema upande gani jaribu kutembelea hii site:
Coursera | Online Courses From Top Universities. Join for Free
Ubarikiwe mkuuu bul kwa wajuzi zaid nawasubilieni piaSoftware ni fani iliyo pana.. Japokuwa hukusema upande gani jaribu kutembelea hii site:
Coursera | Online Courses From Top Universities. Join for Free
Mkuu kwanza hongera kwa kuwa na maoni kama haya!Jaman mim ni kijana mwenye umri furan nimesoma mpaka kidato cha nne nahitaji jikwamua kwa kusomea masuara ya software sabu ya kujkwamua ma mengi na kiuharisia napenda sana masuara ya mitandaon kwa yyeyote ajuae au aliewah kusomea huu mfumo na akafanikiwa anisaidie nataka somea online nb_kama wajua na costing zake waweza nisaidia nawasirisha.
Kelvin miho
If member
0755161970
Nashukur mkuuuu na ubarikiwe mno na je kama ni mtaaram wa haya mambo waweza ntumia no yako nkutafuteMkuu kwanza hongera kwa kuwa na maoni kama haya!
Pili, kabla hujaanza kusoma nakushauri upitie hizi videos nauhakika zitakusaidia sana!
Kama unataka kuwa website developer pitia hii
Pitia na hii kwa muongoza wa software development/computer programming!
Naimani zitakusaidia!
Karibu!
Tunaweza wasiliana kwa email hii:Nashukur mkuuuu na ubarikiwe mno na je kama ni mtaaram wa haya mambo waweza ntumia no yako nkutafute
Vyaukweli tuuu e-mail sko hata jinsi ya kutumia cjui japo nnayo boss
Okey nichek hapa 0625760188Vyaukweli tuuu e-mail sko hata jinsi ya kutumia cjui japo nnayo boss
We kauka tuuuuu mbna walonijibu vizur nimewashukur usijekuta hata wewe wahtaji jifunza afu wajitia mjuaji we kauka ka ndafu boy utapakatwasasa hiyo fani unayotaka kujifunza kama mahapa flani ikiwa umekosea atakaejitolea kukurekebisha si atakoga mitusi mpaka akome
ShukranOkey nichek hapa 0625760188
Nakuunga mkono kaka. Inaonekana ni mgeni kwenye maswala ya online na forums.sasa hiyo fani unayotaka kujifunza kama mahapa flani ikiwa umekosea atakaejitolea kukurekebisha si atakoga mitusi mpaka akome
Well saidNakuunga mkono kaka. Inaonekana ni mgeni kwenye maswala ya online na forums.
Mwenyewe ni software developer na nina kampuni ya kazi hiyo, na nimefaidi.
Nimejifunza miaka mingi (4-5) na kwa haraka, huyu mwenzetu mwenye miaka furan ni mkorofi kidogo.
Unataka kuwa programmer ama software developer?
Zingatia haya:
1. Uwe mwepesi kukosea lakini mwepesi zaidi kujifunza kutokana na makosa yako.
2. Uwe mpole. Sijui unafanya ishu gani lakini ili ufundishike, lazima utulie, usikilize na ujifunze
3. Kuwa makini kwenye lugha. Hii fani kama walivyosema wengine ni pana. Hata hivyo, inatumia lugha, (programming languages). Maanake, lugha usipoimudu, hakuna software ng'o! Hizo nukta, space, spelling na mengine ndo msingi wa software yoyote.
4. Sio kila aliyepost unamjibu. Wengine ni utani, wengine bas tu. So uwe mpole
5. Software na upana wake ni fani nzuri sana na inalipa ukiwa hodari kwenye kazi yako.
[HASHTAG]#makinika[/HASHTAG]