Nahitaji Smartphone nipo Mtwara Mjini

STUKA M1

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
7,411
Reaction score
6,999
Habari wakuu..
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Nahitaji smartphone yoyote yenye ubora hata kama ni used nina 100,000 nipo Mtwara mjini.
So kwa yeyote aliye pande hzi au karibu na site hzi na ana mzigo itakuwa fresh zaidi akinitafuta via 0623670933

Nawasilisha...!!!
 
Kama uko seriasi kabisa Seema nikupatie simu Aina ya xiaomi redmi note 4 used one month ikiwa na vitu vyote Hadi kava hutojutia ni nzuri Sana Niko Nachingwea Lindi.
Kama vipi pitia kwenye uzi wangu nilioanzisha kuhusu simu za xiaomi tutaonana performance yake
 
basi.. Niwekee japo picha hapa ya hyo cm uuzayo... Itakuwa good..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…