Mtukutu Mkuu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2022
- 1,173
- 1,488
TZS 405,312.83 10%OFF | XIaomi Mi 9 se smartphone Snapdragon 712 48 MP+ 20MP Fingerprint cellphoneHabari za muda wakuu nimetokea kuvutiwa Sana na brand za Xiaomi kuna hii Xiaomi mi 9 SE mwenye nayo amabayo IPO clean condition aje DM tuyajenge Zaid
Happy new year there few hours hours remain
View attachment 2464566
Ni simu nzuri Ila nahitaji yangu ni mi 9 SEXiaomi note 10 Pro 128GB full box. 600,000/=. Karibu mzee hutojutia pesa yako
Hawana janjanja hawaTZS 405,312.83 10%OFF | XIaomi Mi 9 se smartphone Snapdragon 712 48 MP+ 20MP Fingerprint cellphone
Ila sidhani kama utapata Mi 9 SE mpya kwa sasa.Hawana janjanja hawa
Hata used natakaIla sidhani kama utapata Mi 9 SE mpya kwa sasa.
Chukua AliExpress ndio sehemu rahisi zaidi kupata hiyo simuHata used nataka
Hiv kuna watu naweza waigizia nje maana Mimi sijawah tumia aliexpres wala amazonChukua AliExpress ndio sehemu rahisi zaidi kupata hiyo simu
Search huku JF kuna uzi unaelekeza jinsi ya kuagiza AliExpressHiv kuna watu naweza waigizia nje maana Mimi sijawah tumia aliexpres wala amazon
Akikujibu unitag nmekaa paleVipi mkuu ulifanikiwa kuipata au imeshindikana