Nahitaji simu ya 80,000 fasta

Nahitaji simu ya 80,000 fasta

Original au feki??? mbona 80,000 ni nyingi sana nenda Kariakoo unarudi na chenji ya kutosha tu.
 
Nahtaj cmu fasta ya bei hyo sh.80,000
. nyakati nyingine tunakuwa na muda mwingi wa bure ambao hatuna kazi nao, maduka yote ya simu yaliyo tawanyika Dar nzima hii, leo unatafuta simu kwenye jukwaa hili, naamini ni utoto tu ukikuwa utaacha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kuna lg kf750
Original na ina kila kitu
Kinachotakiwa kwenye cm!
 
Nko dsm nichek 0717022737 fasta 2fanye b'ness
 
. nyakati nyingine tunakuwa na muda mwingi wa bure ambao hatuna kazi nao, maduka yote ya simu yaliyo tawanyika Dar nzima hii, leo unatafuta simu kwenye jukwaa hili, naamini ni utoto tu ukikuwa utaacha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

kwan akiuliza humu kuna ubaya ....huo sio utoto hii ni forum ya matangazo na mtu anahaki ya kuweka tangazo kila kitu anachouza au anachotafuta..............acha ujinga
 
Njoo nna nokia X2-02 ina mwezi tu nicheki 0766988326 npo dsm mbezi beach.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom