Kuna nokia 310. Ni screen touch na kioo kikubwa, whatsapp, camera nzuri, internet nzuri sana na applications nyingine kibao. Bei 85000
Mpigie jamaa 0768932789
nokia c5 03 ipo hapa imetumika miezi mitatu tu 100k i-google kwa issue za specification niPM kama imekuvutia
Thanks wakubwa nipo interested na BB Bold au Android Phones.
Thanks wakubwa nipo interested na BB Bold au Android Phones.
Kama unayo weka namba ya simu na aina ya simu plus specification,simu nliyonayo haiwezi kuona PM.Nipo DSM.
Kama unayo weka namba ya simu na aina ya simu plus specification,simu nliyonayo haiwezi kuona PM.Nipo DSM.
Thanks mkuu,brands zinazohitajika ni Samsung au BB tu.
Ni Pm Namba yako.
ipo samsung galaxy star