kichwakipana
JF-Expert Member
- Jun 18, 2013
- 206
- 45
Habari wana jamiiforum nahitaji simtank Lita 5000 au 4000
Mkuu mbona maduka mengi ya hardware yanauza. Au hilo unalotaka wewe ni aina ya pekee?Habari wana jamiiforum nahitaji simtank Lita 5000 au 4000
UKIONA HIVYO ANATA LA WIZI, ILA ATAMBUE VITU VYA MTEREMKO NI HATARI KWA USALAMA WAKEMkuu mbona maduka mengi ya hardware yanauza. Au hilo unalotaka wewe ni aina ya pekee?
Bure ghali! Hatari sana anaweza lipa X10 ya bei ambayo angenunu dukani.UKIONA HIVYO ANATA LA WIZI, ILA ATAMBUE VITU VYA MTEREMKO NI HATARI KWA USALAMA WAKE