mind ur bussness
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,050
- 743
Sawa mkuu nashukuru kwa ushauri.....Nakushauri tafuta shamba maeneo ya Kilosa ingia mzigoni, achana na ajira za kipuuzi utakufa na BP.
Fanya irrigationSawa mkuu nashukuru kwa ushauri.....
Lakin hata shamba nalo ni ajira so kama vp nikipata napo sio mbaya msimu wenyewe umekaribia..
Hahaaa alieshiba utamjua tuu.Kiswahili na civics hahaaha mkuu tafuta shamba tuu watu wa masomo hayo hatuwataki saizi maana mmekuwa wengi hadi kero
Wazo ulilitoa ni zuri sana,ila ungeenda mbele zaidi kumsaidia namna gani zaidi ya kuoata uwezo wa kujiali mbinu za kuoata mitaji,mbinu,za kubuni kirafi,mbinu za kuweka usimamizi mzuri wenye tija,mbinu za kuoata masoko endelevu ,na nyenzo zingine kumwezesha.Maana nadhatia tu bila uwezeshaji unamchanhanya.Pia ukumbuke serikali kwenye mitaala mingi hawafundishi ujasiriamali,hivyo kuwafanya wengi kutahatuki wamalizapo chuo nn wafanye.Acha kuwaza umaskini huo. Knowledge opens the door to opportunity, achievement, success and wealth. Acha mind set ya kua maisha ni kuajiriwa. Nakupa mfn. Jana humu JF nmeona mshahara wa graduate anae fanya kazi CRDB take hone almost laki nne na nusu. Nikatoa mfano kuna std 7 drop out yupo Kimara mwisho anafanya biashara ya kuuza chips daily profit yake ni laki moja baada ya kulipa vibarua wake, rent na kutoa mtaji. Means kwa mwezi he earns 3 ml ww graduate unakimbilia ajira unalipwa laki 5 kwa mwezi ni lini utamfikia huyo kijana? Tuwe wabunufu elimu tunazo zupata zitupe maarifa ya kujiajiri ili kutengeneza maisha mazuri. Tafta mtaji mzuri wa wastan then buni kitu ufanye chenye tija. Unakua huru then u make a lot of money. I hate hii system ya kukinbilia kuajiriwa baada ya kumaliza vyuo. Itawezekana wapi wahitimu wote kuajiriwa? Tubadl mtazamo tujiajiri ndo maana wasomi tunadharaurika sn nowadays. Muanzlsh wa fb alpga chn chuo akaenda kujiajiri aka make money then akaludi chuo kumalizia. Tujaribu kuiga mazuri yenye tija ktk maendeleo ya maisha yetu. Mungu akufunue kwa hili.
Nimekupata mkuu mwenyewe nilimaliza chuo 2015 nikachukua masalia ya bum yalikuwa kama 1.5 ml hivi nikafungua biashara japo yakazalaulika kwa mtu mwenye bachela kufanya ila sasa nina miaka miwili kasolo mwezi mmoja kamtaji 7 ml naona kanaonekana na mengine mengi yakutumia pesa nimefanya TUACHANE NA MAWAZO YA KUAJILIWAAcha kuwaza umaskini huo. Knowledge opens the door to opportunity, achievement, success and wealth. Acha mind set ya kua maisha ni kuajiriwa. Nakupa mfn. Jana humu JF nmeona mshahara wa graduate anae fanya kazi CRDB take hone almost laki nne na nusu. Nikatoa mfano kuna std 7 drop out yupo Kimara mwisho anafanya biashara ya kuuza chips daily profit yake ni laki moja baada ya kulipa vibarua wake, rent na kutoa mtaji. Means kwa mwezi he earns 3 ml ww graduate unakimbilia ajira unalipwa laki 5 kwa mwezi ni lini utamfikia huyo kijana? Tuwe wabunufu elimu tunazo zupata zitupe maarifa ya kujiajiri ili kutengeneza maisha mazuri. Tafta mtaji mzuri wa wastan then buni kitu ufanye chenye tija. Unakua huru then u make a lot of money. I hate hii system ya kukinbilia kuajiriwa baada ya kumaliza vyuo. Itawezekana wapi wahitimu wote kuajiriwa? Tubadl mtazamo tujiajiri ndo maana wasomi tunadharaurika sn nowadays. Muanzlsh wa fb alpga chn chuo akaenda kujiajiri aka make money then akaludi chuo kumalizia. Tujaribu kuiga mazuri yenye tija ktk maendeleo ya maisha yetu. Mungu akufunue kwa hili.