Nahitaji shamba mwanza

Nahitaji shamba mwanza

Faru-John

Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
44
Reaction score
13
Wandugu nahitaji shamba Mkoani mza. Ikiwa njia ya misungwi safi. Nahitaji kwa ajili ya mifugo hivyo maji ni muhim likiwa karib na ziwa pia ni vizur zaidi.
 
Ninalo heka mbili na nusu,ni pm
 
Niambie shamba liko wpi, linauzwaje na lina document zipi.
 
Sengerema hapo karibu na kamanga ferry kijiji cha igalagalilo kuna heka 20 ,bei milioni 40 limepakana na ziwa Victoria.
 
Wandugu nahitaji shamba Mkoani mza. Ikiwa njia ya misungwi safi. Nahitaji kwa ajili ya mifugo hivyo maji ni muhim likiwa karib na ziwa pia ni vizur zaidi.
Ninalo maeneo ya Kamanga.kuvuka ferry na lipo ziwani ni kubwa sana tu,ila bila kupindisha maneno halishuki M100.karibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom