Wernery G Kapinga JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 381 Reaction score 131 Apr 7, 2019 #1 Wadau... Nahitaji Shamba kwa ajili ya shughuli za kiuchumi. Kwa maeneo ya Njombe naweza pata ekari moja kwa 200,000/= Ilimradi kuweze kufikika na gari...! Tafadhali Kama ndio usisite kuwasiliana na Mimi 0621538913 Muhimu. Ni kununua na sio kukodi. Asanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau... Nahitaji Shamba kwa ajili ya shughuli za kiuchumi. Kwa maeneo ya Njombe naweza pata ekari moja kwa 200,000/= Ilimradi kuweze kufikika na gari...! Tafadhali Kama ndio usisite kuwasiliana na Mimi 0621538913 Muhimu. Ni kununua na sio kukodi. Asanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
Tronics guru JF-Expert Member Joined May 19, 2016 Posts 10,444 Reaction score 8,070 Apr 7, 2019 #2 Kununua ekari laki mbili?
Narubongo JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 2,768 Reaction score 2,766 Apr 8, 2019 #3 Ukubwa gani? Kwaajili ya zao gani? Sent using Jamii Forums mobile app
M makoga pangatulale Member Joined Oct 30, 2017 Posts 78 Reaction score 90 Apr 10, 2019 #4 Unataka kwa ajili ya kulima zao gani? Mie nipo njombe Na unataka eka ngapi? Ile kuna mashamba eneo la lupembe na kunafaa kwa Kilimo cha Matunda aina ya parachichi na miti Ya mbao Sent using Jamii Forums mobile appbonaventure wolter
Unataka kwa ajili ya kulima zao gani? Mie nipo njombe Na unataka eka ngapi? Ile kuna mashamba eneo la lupembe na kunafaa kwa Kilimo cha Matunda aina ya parachichi na miti Ya mbao Sent using Jamii Forums mobile appbonaventure wolter
M Mr Finest Member Joined Aug 24, 2019 Posts 95 Reaction score 103 Dec 19, 2019 #5 Mkuu ningependa ulezee ,hii ni njombe eneo gani ??? Unaweza ukawa mwenyeji wangu napanga kuja kuhamia huko
Mkuu ningependa ulezee ,hii ni njombe eneo gani ??? Unaweza ukawa mwenyeji wangu napanga kuja kuhamia huko
ya mufindi JF-Expert Member Joined Dec 23, 2014 Posts 573 Reaction score 908 Dec 19, 2019 #6 Mr Finest said: Mkuu ningependa ulezee ,hii ni njombe eneo gani ??? Unaweza ukawa mwenyeji wangu napanga kuja kuhamia huko Click to expand... mkuu karibu mufindi hali ya hewa na mazao ni sawa kwa kila kitu na njombe ,pia fursa zinafanana na rasilimali zote zinafanana
Mr Finest said: Mkuu ningependa ulezee ,hii ni njombe eneo gani ??? Unaweza ukawa mwenyeji wangu napanga kuja kuhamia huko Click to expand... mkuu karibu mufindi hali ya hewa na mazao ni sawa kwa kila kitu na njombe ,pia fursa zinafanana na rasilimali zote zinafanana