Nahitaji rim paper kwa bei ya jumla

Nahitaji rim paper kwa bei ya jumla

manyanga21

Senior Member
Joined
Aug 15, 2018
Posts
170
Reaction score
211
Habari wakuu,

Kwa yeyote anayeuza rim paper kwa bei ya jumla anicheki pm nahitaji pic 80, kwa matumizi ya stationary
 
Habari wakuu,

Kwa yeyote anayeuza rim paper kwa bei ya jumla anicheki pm nahitaji pic 80, kwa matumizi ya stationary
Boss naweza pata namba Yako me Nina rim paper na bei yake ni nafuu sana nasupply kwenye stationary na mashule.
 
Back
Top Bottom