OME123 JF-Expert Member Joined Oct 4, 2010 Posts 1,497 Reaction score 606 Mar 4, 2011 #1 Jamani nauliza kama naweza kupata redio yenye CD tatu,na iwe na uwezo wa kusoma USB kwa bei ya 350000 Tsh,haraka sana
Jamani nauliza kama naweza kupata redio yenye CD tatu,na iwe na uwezo wa kusoma USB kwa bei ya 350000 Tsh,haraka sana
Masika JF-Expert Member Joined Sep 18, 2009 Posts 723 Reaction score 30 Mar 5, 2011 #2 Ya mchina inapatikana nenda kko kama uko dsm kila la heri,ushauri kama unapenda mziki unaochuja nunua kitu bora,changa changa japo ifike tsh 500,000 utapata ya ukweli
Ya mchina inapatikana nenda kko kama uko dsm kila la heri,ushauri kama unapenda mziki unaochuja nunua kitu bora,changa changa japo ifike tsh 500,000 utapata ya ukweli
Sita Sita JF-Expert Member Joined Aug 25, 2008 Posts 1,451 Reaction score 631 Mar 6, 2011 #3 jaribu kwenda pale clocktower kwenye duka la LG