Habari wana MMU! Najitokeza kwa mara ya Kwanza kuleta hitaji hili. Jinsia yangu:Mwanaume; Umri wangu: 28 ; Elimu Yangu: Degree; Kazi Yangu: Mwalimu Sekondari; Makazi yangu Dar es salaam; Kabila: Msukuma wa Mwanza jijini ; Dini/Dhehebu:Mkristo/KKKT; Rangi : Maji ya Kunde; Urefu: Futi 5. SIFA ZA RAFIKI NINAYEMHITAJI Jinsia:Msichana; Kabila:Lolote tu ila awe mtanzania; Dini/dhehebu: Mkristo/Protestant; Rangi;Mweupe/Maji ya kunde; Urefu;3.5Feet kuendelea; Size ya Mwili: Awe na mwili wa kubebeka na mtu mmoja( kilo zisizozidi 70) ; Kazi: Yoyote ile ila tu awe na kazi; Tabia:Mcheshi,mwenye huruma,mkarimu n.k; Makazi: Awe DSM, Moro, Tanga, K'njaro, Arusha au Mwanza(Kwa sababu mikoa hii kwa mimi ni rahisi kuifikija) NATUMAINI NITAMPATA RAFIKI WA MOYO WANGU HUMU KAMA MUNGU AKIPENDA! Asanteni