numesoma comments humu nimebaki mdomo wazi, kikawaida kabisa tuna amini wengi waliojiunga na JF ni intellectuals lakini kwa comments hizi kutoka kwenye hii post basi kama taifa tuna safari ndefu sana.
post inazungumzia ujitaji wa gari iliyotumika nchini yenye namba kuanzia D , lakini wanaocomment wanaanza tena kuleta story za kuagiza gari, hivi mnasomaga kwanza post au kukurupuka tu kucomment? kwa hyo bei unaweza pata mkononi mwa MTU ila ikague vizuri gari kabla hujaamua kuinunua!