Kwa hapo mwanza nenda kwa wenyekiti wa bajaji na badaboda waulize ni vigezo gani vinahitajika kupata bajaji ya mkataba au bodaboda..wakikujibu lifanyie kazi..
Kama unauzoefu na hiyo biashara andika mchanganuo hapa kwa siku utapaleka sh ngap au kwa week sh ngap na mwenye bajaji atafaidika nini..
Kuna watu wapo humu wana mitaji ila hawajui ni biashara gani wafanye