Ziltan JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 2,735 Reaction score 7,010 Jan 16, 2012 #1 Iwe ni orijino halafu kubwa (japanes model zaid),iwe katika hali nzuri, niko serious kabisa kwa mwenye nayo ntatoa namba yangu ya simu,
Iwe ni orijino halafu kubwa (japanes model zaid),iwe katika hali nzuri, niko serious kabisa kwa mwenye nayo ntatoa namba yangu ya simu,
M Mfuatiliaji Senior Member Joined Jun 5, 2008 Posts 153 Reaction score 34 Jan 16, 2012 #2 ipo honda steed cc 600 plug 4 inarejeta tairi la nyuma kubwa imetembea kilometre 17000 una sh ngapi ipo dar ea salaam
ipo honda steed cc 600 plug 4 inarejeta tairi la nyuma kubwa imetembea kilometre 17000 una sh ngapi ipo dar ea salaam
Ziltan JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 2,735 Reaction score 7,010 Jan 16, 2012 Thread starter #3 Nitafte kwenye namba 0755098159
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,972 Reaction score 30,152 Jan 17, 2012 #4 Ziltan said: Iwe ni orijino halafu kubwa (japanes model zaid),iwe katika hali nzuri, niko serious kabisa kwa mwenye nayo ntatoa namba yangu ya simu, Click to expand... nenda dukani, mkononi utaliwa tu. Unawezakuta imepigwa mahali ukaangushiwa jumba bovu!!!!
Ziltan said: Iwe ni orijino halafu kubwa (japanes model zaid),iwe katika hali nzuri, niko serious kabisa kwa mwenye nayo ntatoa namba yangu ya simu, Click to expand... nenda dukani, mkononi utaliwa tu. Unawezakuta imepigwa mahali ukaangushiwa jumba bovu!!!!
M Mfuatiliaji Senior Member Joined Jun 5, 2008 Posts 153 Reaction score 34 Jan 17, 2012 #5 picha ya piki piki hio hapo kama upo interested
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,811 Reaction score 13,770 Jan 17, 2012 #6 Mfuatiliaji said: ipo honda steed cc 600 plug 4 inarejeta tairi la nyuma kubwa imetembea kilometre 17000 una sh ngapi ipo dar ea salaam Click to expand... Hii ni gari sasa,cc 600 inatisha.
Mfuatiliaji said: ipo honda steed cc 600 plug 4 inarejeta tairi la nyuma kubwa imetembea kilometre 17000 una sh ngapi ipo dar ea salaam Click to expand... Hii ni gari sasa,cc 600 inatisha.
semango JF-Expert Member Joined Aug 24, 2010 Posts 532 Reaction score 45 Jan 17, 2012 #7 Mfuatiliaji said: ipo honda steed cc 600 plug 4 inarejeta tairi la nyuma kubwa imetembea kilometre 17000 una sh ngapi ipo dar ea salaam Click to expand... weka bei ya hii kitu.naweza shawishika pia
Mfuatiliaji said: ipo honda steed cc 600 plug 4 inarejeta tairi la nyuma kubwa imetembea kilometre 17000 una sh ngapi ipo dar ea salaam Click to expand... weka bei ya hii kitu.naweza shawishika pia
M Mfuatiliaji Senior Member Joined Jun 5, 2008 Posts 153 Reaction score 34 Jan 17, 2012 #8 bei si kubwa kaka kama umeipenda sema dau nikiridhisa nakuachia usiwe na wasiwasi kitu kipo poa