Nahitaji Pikipiki used

Nahitaji Pikipiki used

naitaji pikpik iliyotumika kamakuna mtu anauza naomba anijulishe

mimi ninayo aina ya lantic, nauza laki nane, pungufu laki saba na nusu. Ipo barabarani inapigakaz boda boda. Nipo mkuranga,kutoka mbagara nauli ni buku tu, unatumia dk 30 kufika. 0757950376
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom