MC Chere
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 586
- 400
Umofia kwenu wadau,kama title inavyojieleza hapo juu ni kuwa mimi ni muumini wa research kabla ya kuamua kufanya jambo.
Hivi sasa nataka kununua pikipiki kwa ajili ya matumizi yangu binafsi,kwanza moyo wangu unapenda nimiliki Honda ace cbd 125 but bei yake ni parefu wakati bajeti yangu ni mil 2.2,mawazo yakahamia kwenye boxer,sijatafiti sana kama kuna aina ngapi za boxer ila nakumbana na kikwazo cha kwamba boxer ni mayai sana hivyo haiwezi kudumu ukizingatia safari zangu ni za off roads.
Bado nipo dilemma,sijapata msimamo thabiti,nategema wataalamu na wazoefu mliopo hapa jukwani mnipe neno la ushauri.
Nawasilisha.