Ni ,mpya au used kama used INA mda gànmi nnayo hp compaq ram ni 4 gb but hard disk ni 240... ntakuuzia laki 3 tu km unataka
namba ya simu weka hapo.mi nnayo hp compaq ram ni 4 gb but hard disk ni 240... ntakuuzia laki 3 tu km unataka
kama bado hujapata nitafute nikuuzie packard bell ina 4 gb ram na 500 gb hd...kioo ni 15.6 wide. Bei yangu ni laki 4 tu ila haipungui. Nimeitumia kwa miezi 8 tu tangu ishushwe canadaKama kichwa kinavyojieleza ndugu nahitaji lap top medium isiwe real min au kubwa iwe size ya kati. Ikiwa ya acer itakuwa nzuri zaidi. Specifications ianzie 2.5 RAM na hard disk kuanzia 300. Bajeti yangu 360000.
Kwa ambae anauza naomba ani pm tuelewane vizuri hasa kwenye bei.
Asanteni.
Mkuu nilishapata aseeh Nashukurukama bado hujapata nitafute nikuuzie packard bell ina 4 gb ram na 500 gb hd...kioo ni 15.6 wide. Bei yangu ni laki 4 tu ila haipungui. Nimeitumia kwa miezi 8 tu tangu ishushwe canada
Namba: 0656497469
Nchk hapo 0758323543kama bado hujapata nitafute nikuuzie packard bell ina 4 gb ram na 500 gb hd...kioo ni 15.6 wide. Bei yangu ni laki 4 tu ila haipungui. Nimeitumia kwa miezi 8 tu tangu ishushwe canada
Namba: 0656497469
Ofisi yako iko kariakoo maeneo gan??MIE NINAZO NJOO KALIAKOO OFISINI KWANGU ACHANA NA MATAPELI HUMU HAWANA OFISI
ushauri wa bure andaa laki moja......mtafute mshkaji wako ambaye anakaa zanzibar mwambie akuchukulie pc ambazo ni no test angalau tatu ..... zikisha kuja andaa laki moja nyingine ya kumpa fundi akufanyie testing na ku repair kama kuna small issues......then mchezo umekwisha...... with only 200k utakuwa unamiliki laptop za ukweli mbili au tatu za ukweliKama kichwa kinavyojieleza ndugu nahitaji lap top medium isiwe real min au kubwa iwe size ya kati. Ikiwa ya acer itakuwa nzuri zaidi. Specifications ianzie 2.5 RAM na hard disk kuanzia 300. Bajeti yangu 360000.
Kwa ambae anauza naomba ani pm tuelewane vizuri hasa kwenye bei.
Asanteni.