M malackmramba Member Joined Sep 20, 2014 Posts 8 Reaction score 4 May 11, 2019 #1 Habari zenu humu ndani kwa wanajamii wezangu ningependa kujuwa wap nitapata zao la oregano kwa anayejuwa nahitaji kwa wingi kwa mawasiliano zaid anitafute kwa whataspp 0685000606 or sms 0767000606
Habari zenu humu ndani kwa wanajamii wezangu ningependa kujuwa wap nitapata zao la oregano kwa anayejuwa nahitaji kwa wingi kwa mawasiliano zaid anitafute kwa whataspp 0685000606 or sms 0767000606
ikipendaroho JF-Expert Member Joined Jul 26, 2015 Posts 3,901 Reaction score 3,858 May 11, 2019 #2 Unatengeneza pizza mzee! Mimi ngojea nizindike..it takes onky 3 weeks to.mature