Nahitaji nyumba ya kupanga-Mbeya.

Nyalotsi

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
6,989
Reaction score
5,068
Nimechoka na upuuzi ninaofanyiwa na mama mwenye nyumba. Mimi ni mwanaume, sijaoa. Nahitaji vyumba viwili, chumba na sebule. Ikipatikana self contained itakuwa bora zaidi. Yaani hapa umeme unakatika kila mara, luku inaisha? Asubuhi unazimwa na mimi nina friji. Nalipia fedha zaidi kwa ajili ya friji lakini nikiondoka tu anauzima. Siku kibao nimeenda kazini bila kunyosha nguo! Am tired of this shit!j
 
Mbey pande zipi ungependelea... hata hapa Makongolosi mkuu...? be specific.
 
jenga nyumba yako huko mbeya ujenzi ni rahisi!
 
Kama unahitaji maeneo ya mwanjelwa ni pm. Ina chumba na sebule, na vyumba vingine viwili. Lakini sio self contained mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…