Ujenzi gharama kubwa.Bei laki moja na nusu mpaka laki na Semaninin iwe chumba kimoja na sebule jiko na choo iwe na maru maru kote madirisha aluminum parking yakutosha gari 3,Kodi miezi 3 isiwe mbali na bara bara maeneo,sakina sekei au ngurelo
Sawa boss,una nyumba lakini sio Arusha.Hivi we unafikiri sina nyumba huku nimekuja kikazi,kaa kimya kama una chakuongea nayo ni busara,