Nyumba ya kupanga Tandika!?
You must be joking.......
Labda niwe namiliki nyumba yangu ndio naweza kuishi maeneo hayo, hata hivyo ningepangisha na kwenda kupanga sehemu nyingine.
Mkuu labda nikuulize tu kwa nn Tandika? Shughuli zako unategemea kuzifanya maeneo gani ili tukusaidie upanue sample space yako!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
wadau tandika yasaivi kunasehemu iyo hela kupa apartment nindogona nayakaida tuu watu kwazarau duuuuu
mkuu hiyo ya kimara mbezi , kodi ngapi ?kama unataka mbezi ya kimara ni pm ina sifa zote ulizotaja na nyumba ni mpya kabisa