Nahitaji nyumba Sinza, bei 150 milioni

Dr Rutagwerera Sr

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
5,815
Reaction score
11,506
Habari wadau. Nahitaji nyumba Sinza tu. Ofa yangu milioni 150. Nitumie ujumbe pm kama ipo kwa mwenye taarifa.
 
Huu msimu sio kabisa kwani hujui kipi kiko ndani ya kumi na nane Za Mshua
 
Habari wadau. Nahitaji nyumba Sinza tu. Ofa yangu milioni 150. Nitumie ujumbe pm kama ipo kwa mwenye taarifa.
Shekilango vipi panakufaa?? ni PM kama utapapenda
 
Ahsanteni wakuu nilipata Sinza Palestina. Kuna mdau JF amenifanikishia hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…