Habarini,
Nahitaji huduma ya mtu yoyote mwenye uwezo wa kutengeneza nyasi bandia (Artificial/ Fake grass) AU mtu yoyote anaeuza kwa reasonable price.
Kwa Muuzaji: Iwe mpya au used zote sawa na cha maana ziwe katika good condition.
Iwe inaruhusu maji kupita kwa chini.
Nitashukuru kwa msaada