Nanoli JF-Expert Member Joined Oct 15, 2015 Posts 3,739 Reaction score 5,980 Nov 10, 2015 #1 Habari zenu wadau, Mie niko Mtwara, natafuta ng'ombe wa kisasa wa maziwa,. Nahitaji ng'ombe wawili kwa kuanzia. Kwakua mie ni mjasiliamari ninaejifunza kamtaji kwangu ni 1,600,000 kwa hao ng'ombe wawili na wawe waliopandishwa tayari.
Habari zenu wadau, Mie niko Mtwara, natafuta ng'ombe wa kisasa wa maziwa,. Nahitaji ng'ombe wawili kwa kuanzia. Kwakua mie ni mjasiliamari ninaejifunza kamtaji kwangu ni 1,600,000 kwa hao ng'ombe wawili na wawe waliopandishwa tayari.
mob JF-Expert Member Joined Dec 4, 2009 Posts 2,262 Reaction score 1,360 Nov 10, 2015 #2 mkuu pole kama unaishi karibu na Jimbo katoliki au parokia hebu nenda kawaulize hawa wanakuwaga na miradi ya ngombe wanaweza kukusaidia.
mkuu pole kama unaishi karibu na Jimbo katoliki au parokia hebu nenda kawaulize hawa wanakuwaga na miradi ya ngombe wanaweza kukusaidia.
Alvin Slain JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 6,375 Reaction score 3,668 Nov 10, 2015 #3 Ninao lakin ng,ombe wangu huwa nawauza M1 ambaye tiyar amepandishwa