Kwahiyo vigezo vyako ni elimu na dini tu?
Jaribu bahati yako dada. Usisahau, sharti ni kum-pm.
Kwahiyo vigezo vyako ni elimu na dini tu?
Jamani? Mbona mi kigezo ni upole tu....lol
Hahahah. . .
Kwahiyo akiwa mlevi poa?
Asipokua mwaminifu poa?
Akiwa mwizi/jambazi poa?
Asipojua kubembeleza/omba samahani poa?
Akiwa mvivu poa?
Akiwa mwongo poa?
Asipokuheshimu poa?
Haya bana dearest. . . ngoja nikanunue daftari jipya niongeze vyangu.
Mie mpole kweli yaani!.Jamani? Mbona mi kigezo ni upole tu....lol