The useful idiot
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 1,066
- 2,739
Kama sio bikra kamfuate aliekutoa ubikra ukawe mwenza wakePoleni na Shughuli za siku wana JF,
Nimekuja nikiwa na uhitaji wa kupata mwenza Mwanaume. Mwenye uhitaji na mahusiano aliechoka kua mpweke kama mimi.
Awe mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 32 na kuendelea.
Awe anajishughulisha na shughuli halali.
Mwenye hofu ya Mungu.
Asiwe mtumiaji wa kileo,na mambo yanayofanana na ayo.
Awe Mkristo, Akiwa Mpentecoste(na yakufanana na ayo itakua vizuri).
Ni sawa akiwa na mtoto maana na mimi nina mtoto mmoja.
Mimi ni mwanamke wa miaka 30, Ni mama wa binti mmoja.
Nmeajiliwa(private sector) Ninaishi Dar es salaam.
Ninampenda Mungu, Nimekua mpweke kwa mda mrefu sasa.
Karibu Pm.
Ahsante.
Nahitaji mwanamke Alie choka kichezewa anataka atulie Ili ajenge Nyumba yake nimuuzie mabati
Kuwa single mother haina maana kwamba huwezi kupata mwenza wa kufanana na wewe. Ni kweli kuna "changamoto" za kuoa single mother hasa hasa kama "baba" wa mtoto yupo.Mimi ni mwanamke wa miaka 30, Ni mama wa binti mmoja
Muoe wewe mkuuKuwa single mother haina maana kwamba huwezi kupata mwenza wa kufanana na wewe. Ni kweli kuna "changamoto" za kuoa single mother hasa hasa kama "baba" wa mtoto yupo.
Lakini, yaliyopita yamepita, hakuna mtu asiyekuwa na jana, hakuna asiyekuwa na "historia" iwe nzuri au mbaya.
Muhimu ni kuishi kwa kuangalia yajayo na sio kuishi kwa kuangalia yaliyopita. Yaliyopita yatabakia kama "somo" ili kesho iwe bora zaidi kwa kutokurudia makosa ya jana.
Wanaume wenzangu hebu tuache kuwananga na kuwaponda "single mothers" kama vile hizo mimba walijipa wenyewe wakati miongoni mwetu sisi ndiyo chanzo au moja ya sababu ya wao kuwa "single mothers".
Well, may be miongoni mwa Wanawake wapo ambao kwa hiari yao au kwa kiburi au kwa ujinga wamekuwa single mothers lakini bado hatupaswi kuwaweka wote ndani ya kapu moja la "wakosaji" au "watu wasiofaa".
Ndege wa rangi moja huruka pamoja. Nina imani Molina utampata wa kufanana na wewe iwe humu JF (which I likely doubt) au iwe nje ya JF , yote heri.
Binafsi siwezi kuoa "single mother", lakini, kisichonifaa mimi kinamfaa mwingine. Wazungu wana kamsemo kao; "One man's trash is another man's treasure".
Pole sana kwa upweke na hongera zaidi kwa upekeePoleni na Shughuli za siku wana JF,
Nimekuja nikiwa na uhitaji wa kupata mwenza Mwanaume. Mwenye uhitaji na mahusiano aliechoka kua mpweke kama mimi.
Awe mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 32 na kuendelea.
Awe anajishughulisha na shughuli halali.
Mwenye hofu ya Mungu.
Asiwe mtumiaji wa kileo,na mambo yanayofanana na ayo.
Awe Mkristo, Akiwa Mpentecoste(na yakufanana na ayo itakua vizuri).
Ni sawa akiwa na mtoto maana na mimi nina mtoto mmoja.
Mimi ni mwanamke wa miaka 30, Ni mama wa binti mmoja.
Nmeajiliwa(private sector) Ninaishi Dar es salaam.
Ninampenda Mungu, Nimekua mpweke kwa mda mrefu sasa.
Karibu Pm.
Ahsante.
SawaPoleni na Shughuli za siku wana JF,