Mwanaharakati2013 Senior Member Joined Sep 29, 2013 Posts 170 Reaction score 15 Sep 28, 2014 #1 Habari za asubuh wakuu... Naombeni msaada wa jinsi ya kuwapata wadada wa Malawi. Lengo ni kwa ajili ya kusaidia shughuli za nyumbani kwa aunt yangu. Nasikia wapo wengi maeneo ya tegeta ila sina pa kuanzia. Msaada wenu plz
Habari za asubuh wakuu... Naombeni msaada wa jinsi ya kuwapata wadada wa Malawi. Lengo ni kwa ajili ya kusaidia shughuli za nyumbani kwa aunt yangu. Nasikia wapo wengi maeneo ya tegeta ila sina pa kuanzia. Msaada wenu plz
Ndalama JF-Expert Member Joined Nov 22, 2011 Posts 8,787 Reaction score 6,543 Sep 28, 2014 #2 Nenda huko tegeta ila wana vibali vya kufanya kazi nchini? Usijejuta ndugu serikali ikikuamkia
B bategereza JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 3,314 Reaction score 1,072 Sep 28, 2014 #3 walivyo na sura mbaya kama makatambuga utawaweka wapi ?
U Usoka.one JF-Expert Member Joined Nov 20, 2013 Posts 770 Reaction score 374 Sep 28, 2014 #4 bategereza said: walivyo na sura mbaya kama makatambuga utawaweka wapi ? Click to expand... Mwenye kugawa sura ndie kawapa!!bora wawe na sura mbaya lkn wawe na roho nzuri kwa watoto na kuwatunza vizuri
bategereza said: walivyo na sura mbaya kama makatambuga utawaweka wapi ? Click to expand... Mwenye kugawa sura ndie kawapa!!bora wawe na sura mbaya lkn wawe na roho nzuri kwa watoto na kuwatunza vizuri
B Bobobo Member Joined Sep 7, 2014 Posts 7 Reaction score 2 Sep 28, 2014 #5 uni pm... naweza kukupatia namba ya mtu atakaekusaidia...
Ndalama JF-Expert Member Joined Nov 22, 2011 Posts 8,787 Reaction score 6,543 Sep 28, 2014 #6 bategereza said: walivyo na sura mbaya kama makatambuga utawaweka wapi ? Click to expand... Kwani wanapelekwa kwenye mashindano ya sura?
bategereza said: walivyo na sura mbaya kama makatambuga utawaweka wapi ? Click to expand... Kwani wanapelekwa kwenye mashindano ya sura?
S Sumu JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,028 Reaction score 6,282 Sep 28, 2014 #7 bategereza said: walivyo na sura mbaya kama makatambuga utawaweka wapi ? Click to expand... Ndo wanakuwaga watamu.
bategereza said: walivyo na sura mbaya kama makatambuga utawaweka wapi ? Click to expand... Ndo wanakuwaga watamu.
Galadudu JF-Expert Member Joined Jun 23, 2014 Posts 2,304 Reaction score 780 Sep 28, 2014 #8 bategereza said: walivyo na sura mbaya kama makatambuga utawaweka wapi ? Click to expand... Hajasema anatafuta mke......yeye kasema anatafuta beki tatu aka Patrice Evra
bategereza said: walivyo na sura mbaya kama makatambuga utawaweka wapi ? Click to expand... Hajasema anatafuta mke......yeye kasema anatafuta beki tatu aka Patrice Evra
Jaslaws JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 6,016 Reaction score 5,301 Sep 28, 2014 #9 Bobobo said: uni pm... naweza kukupatia namba ya mtu atakaekusaidia... Click to expand... Human trafficking..!!
Bobobo said: uni pm... naweza kukupatia namba ya mtu atakaekusaidia... Click to expand... Human trafficking..!!