Nahitaji mwekezaji kwenye biashara yangu

siyumwe

Senior Member
Joined
Apr 10, 2017
Posts
152
Reaction score
134
Habari za mdaa huu wana jf natumai mu wazima mnaendelea kuijenga tanzania ya viwanda
mimi ni mjasiriamal mdogo ambae nimeamua kujiajiri kwa kutengeneza viatu vya ngozi ni biashara ambayo nina uzoefu nayo kwa mwaka 1 na miezi 3 tatizo kubwa linalonikumba ninapata oda nyingi tofauti na mtaji hivyo nashindwa jinsi ya kuzifanyia kazi kwa muda muafaka kama kuna mtu atakua yupo tayari kuwekeza kiasi kisichopungua milion moja na tukatengeneza faida ya laki 2 kwa wiki nitashukuru sana ..kuhusu jinsi gani tugawana faida na mambo mengine call au whatsup 0625888090 nipo tegeta kwa ndevu‎

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,

Hatopigwa mtu hapa?
 
Umejiandaaje kwa ushindani? Kule Moshi Kilimanjaro kuna kiwanda kikubwa cha viatu pale gereza la Karanga. Ni cha Magereza kwa kushirikiana na PSSSF zote ni taasisi za serikali. Na watauza viatu nchi nzima. Jiandae kwa ushindani huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…